Isaiah 65:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huketi makaburini na kukaa mafichoni usiku. Hula nyama ya nguruwe na mchuzi wa wanyama haramu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
watu waketio katika makaburi na kukesha mahali pa siri, walao nyama za nguruwe, nazo sufuria zao zina mchuzi wa nyama zilizo najisi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
waketio kati ya makaburi, na kulala katika mahali pao pa siri; walao nyama ya nguruwe, na mchuzi wa vitu vinichukizavyo u katika vyombo vyao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huketi makaburini na kukaa mafichoni usiku. Hula nyama ya nguruwe na mchuzi wa wanyama haramu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
watu waketio katikati ya makaburi na kukesha mahali pa siri, ili kuabudu mizimu, walao nyama za nguruwe, nazo sufuria zao zina mchuzi wa nyama na mboga zilizonajisi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
watu waketio katikati ya makaburi na kukesha mahali pa siri, walao nyama za nguruwe, nazo sufuria zao zina mchuzi wa nyama zilizo najisi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
waketio kati ya makaburi, na kulala katika mahali pao pa siri; walao nyama ya nguruwe, na mchuzi wa vitu vinichukizavyo u katika vyombo vyao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huketi makaburini na kukaa mafichoni usiku. Hula nyama ya nguruwe na mchuzi wa wanyama haramu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hukaa makaburini, hulala usiku penye mwiko, hula nyama za nguruwe, namo vyomboni mwao mna mchuzi wa kibudu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
waketio kati ya makaburi, na kulala katika mahali pao pa siri; walao nyama ya nguruwe, na mchuzi wa vitu vinichukizavyo u katika vyombo vyao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanaikaa katika makaburi na kupitisha usiku ndani ya mashimo. Wanakula nyama ya nguruwe na kuweka muchuzi wa nyama wachafu ndani ya sahani zao.