Isaiah 65:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Jueni kuwa nimelitia jambo hilo moyoni, sitanyamaza bali nitawafanya walipe; nitawafanya walipe kwa wingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tazama, jambo hili hubakia limeandikwa mbele zangu: sitanyamaza, bali nitalipiza kwa ukamilifu; nitalipiza mapajani mwao:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, neno hili limeandikwa mbele zangu. Sitanyamaza, lakini nitalipa, naam, mimi nitawalipa ujira wao vifuani mwao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Jueni kuwa nimelitia jambo hilo moyoni, sitanyamaza bali nitawafanya walipe; nitawafanya walipe kwa wingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tazama, jambo hili hubakia limeandikwa mbele zangu: sitanyamaza kimya bali nitalipiza kwa ukamilifu; nitalipiza mapajani mwao:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tazama, jambo hili hubakia limeandikwa mbele zangu: sitanyamaza, bali nitalipiza kwa ukamilifu; nitalipiza mapajani mwao:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, neno hili limeandikwa mbele zangu. Sitanyamaza, lakini nitalipa, naam, mimi nitawalipa ujira wao vifuani mwao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Jueni kuwa nimelitia jambo hilo moyoni, sitanyamaza bali nitawafanya walipe; nitawafanya walipe kwa wingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni! Yameandikwa mbele yangu; sitanyamaza, ila nitayalipiza, kweli nitayalipiza vifuani mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, neno hili limeandikwa mbele zangu. Sitanyamaza, lakini nitalipa, naam, mimi nitawalipa ujira wao vifuani mwao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mujue kwamba mambo hayo yameandikwa mbele yangu, sitanyamaza lakini nitawalipiza; nitawalipa sawa inavyostahili.