Isaiah 65:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawajalia watu wa Yakobo, na Yuda nitamjalia warithi wa milima yangu; watumishi wangu watakaa huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawaleta wazao kutoka kwa Yakobo, na kutoka kwa Yuda watakaomiliki milima yangu, nao watu wangu wateule watairithi, nako huko wataishi watumishi wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitaleta uzao toka Yakobo, na mrithi wa milima yangu toka Yuda, na mteule wangu atairithi, na watumishi wangu watakaa huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawajalia watu wa Yakobo, na Yuda nitamjalia warithi wa milima yangu; watumishi wangu watakaa huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawaleta wazao kutoka kwa Yakobo, na kutoka kwa Yuda wale watakaomiliki milima yangu, watu wangu wateule watairithi, nako huko wataishi watumishi wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawaleta wazao kutoka kwa Yakobo, na kutoka kwa Yuda wale watakaomiliki milima yangu, nao watu wangu wateule watairithi, nako huko wataishi watumishi wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitaleta uzao toka Yakobo, na mrithi wa milima yangu toka Yuda, na mteule wangu atairithi, na watumishi wangu watakaa huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawajalia watu wa Yakobo, na Yuda nitamjalia warithi wa milima yangu; watumishi wangu watakaa huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitatokeza mzao kwake Yakobo, nako kwake Yuda atakayekuwa mwenye milima yangu, kusudi wao, niliowachagua, waitwae, watumishi wangu wapate kukaa huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitaleta uzao toka Yakobo, na mrithi wa milima yangu toka Yuda, na mteule wangu atairithi, na watumishi wangu watakaa huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawajalia watu wa Yakobo, na Yuda nitamujalia watakaorizi milima yangu; wachaguliwa wangu watairizi, watumishi wangu watakaa kule.