Isaiah 66:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia nitawachagua baadhi yao kuwa makuhani na baadhi yao kuwa Walawi. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami nitachagua baadhi yao pia wawe makuhani na Walawi,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baadhi ya hao nitawatwaa kuwa makuhani na Walawi, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia nitawachagua baadhi yao kuwa makuhani na baadhi yao kuwa Walawi. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami nitachagua baadhi yao pia wawe makuhani na Walawi,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami nitachagua baadhi yao pia wawe makuhani na Walawi,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baadhi ya hao nitawatwaa kuwa makuhani na Walawi, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia nitawachagua baadhi yao kuwa makuhani na baadhi yao kuwa Walawi. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Namo mwao nitachukua wengine, wawe watambikaji na Walawi; ndivyo, Bwana anavyosema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baadhi ya hao nitawatwaa kuwa makuhani na Walawi, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile nitawachagua wamoja kati yao kuwa makuhani na Walawi. –Ni Yawe anayesema hivyo.