Isaiah 66:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama vile mbingu mpya na dunia mpya nitakazoumba zitakavyodumu milele kwa uwezo wangu, ndivyo wazawa wako na jina lako litakavyodumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kama vile mbingu mpya na nchi mpya ninazozifanya zitakavyodumu mbele zangu,” asema Mwenyezi Mungu, “ndivyo jina lenu na wazao wenu watakavyodumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, asema Bwana, ndivyo uzao wenu na jina lenu litakavyokaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama vile mbingu mpya na dunia mpya nitakazoumba zitakavyodumu milele kwa uwezo wangu, ndivyo wazawa wako na jina lako litakavyodumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama vile mbingu mpya na nchi mpya ninazozifanya zitakavyodumu mbele zangu,” asema BWANA, “ndivyo jina lenu na wazao wenu watakavyodumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama vile mbingu mpya na nchi mpya ninazozifanya zitakavyodumu mbele zangu,” asema bwana, “ndivyo jina lenu na wazao wenu watakavyodumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, asema BWANA, ndivyo uzao wenu na jina lenu litakavyokaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama vile mbingu mpya na dunia mpya nitakazoumba zitakavyodumu milele kwa uwezo wangu, ndivyo wazawa wako na jina lako litakavyodumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kama zile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazoziumba, zitakavyokaa mbele yangu, ndivyo, mazao yenu na majina yenu yatakavyokaa; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, asema BWANA, ndivyo uzao wenu na jina lenu litakavyokaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile mbingu mupya na dunia mupya nitakazoumba zitakavyodumu milele kwa uwezo wangu, ndivyo wazao wako na jina lako litakavyodumu. –Ni ujumbe wa Yawe.–