Isaiah 66:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikilizeni, ghasia kutoka mjini, sauti kutoka hekaluni! Hiyo ni sauti ya Mwenyezi-Mungu akiwaadhibu maadui zake!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikieni hizo ghasia kutoka mjini, sikieni hizo kelele kutoka hekaluni! Ni sauti ya Mwenyezi Mungu ikiwalipa adui zake yote wanayostahili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauti ya fujo itokayo mjini! Sauti itokayo hekaluni! Sauti ya Bwana awalipaye adui zake adhabu!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikilizeni, ghasia kutoka mjini, sauti kutoka hekaluni! Hiyo ni sauti ya Mwenyezi-Mungu akiwaadhibu maadui zake!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikieni hizo ghasia kutoka mjini, sikieni hizo kelele kutoka hekaluni! Ni sauti ya BWANA ikiwalipa adui zake yote wanayostahili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikieni hizo ghasia kutoka mjini, sikieni hizo kelele kutoka hekaluni! Ni sauti ya bwana ikiwalipa adui zake yote wanayostahili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauti ya fujo itokayo mjini! Sauti itokayo hekaluni! Sauti ya BWANA awalipaye adui zake adhabu!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikilizeni, ghasia kutoka mjini, sauti kutoka hekaluni! Hiyo ni sauti ya Mwenyezi-Mungu akiwaadhibu maadui zake!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usikilizeni uvumi uliomo mjini, uliomo namo Nyumbani mwa Bwana! Ni sauti ya Bwana anayewalipisha adui matendo yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauti ya fujo itokayo mjini! Sauti itokayo hekaluni! Sauti ya BWANA awalipaye adui zake adhabu!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikilize: makelele kutoka katika muji, sauti kutoka katika hekalu! Hiyo ni sauti ya Yawe akiwaazibu waadui zake!