Isaiah 7:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena Mwenyezi-Mungu akamwambia Ahazi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akasema na Ahazi tena,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Bwana akasema na Ahazi akinena,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena Mwenyezi-Mungu akamwambia Ahazi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akasema na Ahazi tena,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akasema na Ahazi tena,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena BWANA akasema na Ahazi akinena,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena Mwenyezi-Mungu akamwambia Ahazi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akaendelea, akamwambia Ahazi kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena BWANA akasema na Ahazi akinena,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena Yawe akamwambia Ahazi: