Isaiah 7:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwombe Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, akupe ishara; iwe ni kutoka chini kuzimu au juu mbinguni.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwombe Mwenyezi Mungu, Mungu wako, ishara, iwe kwenye vina virefu sana, au kwenye vimo virefu sana.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jitakie ishara ya Bwana, Mungu wako; itake katika mahali palipo chini sana, au katika mahali palipo juu sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwombe Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, akupe ishara; iwe ni kutoka chini kuzimu au juu mbinguni.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mwombe BWANA, Mungu wako ishara, kama ni kwenye vina virefu sana au ni kwenye vimo virefu sana.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mwombe bwana Mwenyezi Mungu wako ishara, iwe kwenye vina virefu sana, au kwenye vimo virefu sana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jitakie ishara ya BWANA, Mungu wako; itake katika mahali palipo chini sana, au katika mahali palipo juu sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwombe Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, akupe ishara; iwe ni kutoka chini kuzimu au juu mbinguni.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jiombee kielekezo kwake Bwana Mungu wako! Omba kilicho mbali kuzimuni au kilicho mbali mbinguni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jitakie ishara ya BWANA, Mungu wako; itake katika mahali palipo chini sana, au katika mahali palipo juu sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umwombe Yawe, Mungu wako, akupe kitambulisho; kikuwe ni kutoka chini kuzimu au juu mbinguni.