Isaiah 7:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haya basi, Bwana mwenyewe atawapa ishara: Msichana atachukua mimba, atajifungua mtoto wa kiume na kumwita jina lake Emanueli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara: Bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, na ataitwa Imanueli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanamume, naye atamwita jina lake Imanueli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haya basi, Bwana mwenyewe atawapa ishara: msichana atachukua mimba, atajifungua mtoto wa kiume na kumwita jina lake Emanueli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara: Bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, na ataitwa Imanueli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara: Bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, na ataitwa Imanueli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto wa kiume, naye atamwita jina lake Imanueli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haya basi, Bwana mwenyewe atawapa ishara: Msichana atachukua mimba, atajifungua mtoto wa kiume na kumwita jina lake Emanueli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Bwana atawapa mwenyewe kielekezo, ni hiki: Tazama, mwanamwali atapata mimba, atazaa mtoto mwanamume, nalo jina lake atamwita Imanueli (Mungu yuko nasi).
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanamume, naye atamwita jina lake Imanueli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Bwana mwenyewe atawapa kitambulisho: bikira atapata mimba, atazaa mutoto mwanaume na kumwita jina lake “Emanueli – Mungu Yuko Pamoja Nasi”.