Isaiah 7:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atakula siagi na asali mpaka atakapojua kukataa mabaya na kuchagua mema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atakula jibini na asali atakapokuwa ameweza kukataa mabaya na kuchagua mema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siagi na asali atakula, wakati ajuapo kuyakataa mabaya na kuyachagua mema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atakula siagi na asali mpaka atakapojua kukataa mabaya na kuchagua mema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atakula jibini na asali hapo atakapokuwa ameweza kukataa mabaya na kuchagua lililo jema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atakula jibini na asali atakapokuwa ameweza kukataa mabaya na kuchagua mema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siagi na asali atakula, wakati ajuapo kuyakataa mabaya na kuyachagua mema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atakula siagi na asali mpaka atakapojua kukataa mabaya na kuchagua mema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atakula maziwa yenye mafuta na asali, mpaka atakapojua kukataa mabaya na kuchagua mema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siagi na asali atakula, wakati ajuapo kuyakataa mabaya na kuyachagua mema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atakula maziwa na asali mpaka atakapojua kukataa mabaya na kuchagua mema.