Isaiah 7:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watakuja makundi kwa makundi na kuyajaza mabonde yaliyopasukapasuka, mapango miambani, miiba, vichaka vyote na malisho yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote watakuja na kukaa kwenye mabonde yenye miteremko, na kwenye nyufa za miamba, kwenye vichaka vyote vyenye miiba, na kwenye mashimo yote ya maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watakuja na kutulia katika mabonde yaliyo ukiwa, na katika pango za majabali, na juu ya michongoma yote, na juu ya malisho yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watakuja makundi kwa makundi na kuyajaza mabonde yaliyopasukapasuka, mapango miambani, miiba, vichaka vyote na malisho yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote watakuja na kukaa kwenye mabonde yenye mitelemko na kwenye nyufa za miamba, kwenye vichaka vyote vyenye miiba na kwenye mashimo yote ya maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote watakuja na kukaa kwenye mabonde yenye miteremko, na kwenye nyufa za miamba, kwenye vichaka vyote vyenye miiba, na kwenye mashimo yote ya maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watakuja na kutulia katika mabonde yaliyo ukiwa, na katika pango za majabali, na juu ya michongoma yote, na juu ya malisho yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watakuja makundi kwa makundi na kuyajaza mabonde yaliyopasukapasuka, mapango miambani, miiba, vichaka vyote na malisho yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakuja kutua wote pamoja katika mabonde na makorongo, katika nyufa za magenge, hata katika maboma yote ya miti yenye miiba na malishoni po pote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watakuja na kutulia katika mabonde yaliyo ukiwa, na katika pango za majabali, na juu ya michongoma yote, na juu ya malisho yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watakuja makundi kwa makundi na kuyajaza mabonde yenye miinuko, mapango ndani ya mawe, miiba, vichaka vyote na mashamba yote ya kukulishia nyama.