Isaiah 7:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo, mtu atafuga ng'ombe mmoja mchanga na kondoo wawili;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku ile, mtu atahifadhi hai mtamba mmoja na kondoo wawili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika siku hiyo itakuwa ya kwamba mtu atalisha ng'ombe mke mchanga na kondoo wake wawili;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo, mtu atafuga ng'ombe mmoja mchanga na kondoo wawili;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku ile, mtu atahifadhi hai ndama mmoja na kondoo wawili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku ile, mtu atahifadhi hai ndama mmoja na kondoo wawili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika siku hiyo itakuwa ya kwamba mtu atalisha ng'ombe jike mchanga na kondoo wawili wa kike;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo, mtu atafuga ng'ombe mmoja mchanga na kondoo wawili;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ileile mtu atafuga king'ombe kimoja na vibuzi viwili tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika siku hiyo itakuwa ya kwamba mtu atalisha ng’ombe mke mchanga na kondoo wake wawili;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule, mutu atafuga ngombe mumoja muchanga na kondoo wawili;