Isaiah 7:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nayo milima yote iliyokuwa ikilimwa itakuwa imejaa mbigili na miiba, hata hakuna mtu atakayejaribu kwenda huko, badala yake itakuwa malisho ya ng'ombe na kondoo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu vilima vyote vilivyokuwa vikilimwa kwa jembe, hamtaenda huko tena kwa ajili ya hofu ya michongoma na miiba. Patakuwa mahali ng’ombe wataachiwa huru, na kondoo kukimbia kimbia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na vilima vyote vilivyolimwa kwa jembe, hutafika huko kwa sababu ya kuiogopa mibigili na miiba, lakini hapo patakuwa mahali pa kupeleka ng'ombe, mahali pa kukanyagwa na kondoo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nayo milima yote iliyokuwa ikilimwa itakuwa imejaa mbigili na miiba, hata hakuna mtu atakayejaribu kwenda huko, badala yake itakuwa malisho ya ng'ombe na kondoo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhusu vilima vyote vilivyokuwa vikilimwa kwa jembe, hamtakwenda huko tena kwa ajili ya hofu ya michongoma na miiba, patakuwa mahali ambapo ng'ombe wataachiwa huru na kondoo kukimbia-kimbia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhusu vilima vyote vilivyokuwa vikilimwa kwa jembe, hamtakwenda huko tena kwa ajili ya hofu ya michongoma na miiba. Patakuwa mahali ambapo ng’ombe wataachiwa huru, na kondoo kukimbia kimbia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na vilima vyote vilivyolimwa kwa jembe, hutafika huko kwa sababu ya kuiogopa mbigili na miiba, lakini hapo patakuwa mahali pa kupeleka ng'ombe, mahali pa kukanyagwa na kondoo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nayo milima yote iliyokuwa ikilimwa itakuwa imejaa mbigili na miiba, hata hakuna mtu atakayejaribu kwenda huko, badala yake itakuwa malisho ya ng'ombe na kondoo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nako kwenye milima kote kunakolimwa sasa na majembe, watu hawatakwenda tena huko kwa kuiogopa mikunju na mibigili, watakutumia tu kwa kuchungia ng'ombe na kondoo na mbuzi, wachezeechezee kuko huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na vilima vyote vilivyolimwa kwa jembe, hutafika huko kwa sababu ya kuiogopa mibigili na miiba, lakini hapo patakuwa mahali pa kupeleka ng’ombe, mahali pa kukanyagwa na kondoo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nayo milima yote iliyokuwa ikilimwa itakuwa imejaa michongoma na miiba, hata hakuna mutu atakayejaribu kwenda kule. Pahali pake itakuwa tu nafasi ya kukulishia ngombe na kondoo.