Isaiah 7:9 — Compare Translations

7 translations compared side by side

Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kichwa cha Efraimu ni Samaria, na kichwa cha Samaria ni mwana wa Remalia peke yake. Kama hamtasimama thabiti katika imani yenu, hamtaimarika kamwe.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena kichwa cha Efraimu ni Samaria, na kichwa cha Samaria ni mwana wa Remalia. Kwamba hamtaki kusadiki, bila shaka hamtathibitika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kichwa cha Efraimu ni Samaria, na kichwa cha Samaria ni mwana wa Remalia peke yake. Kama hamtasimama thabiti katika imani yenu, hamtaimarika kamwe.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kichwa cha Efraimu ni Samaria, na kichwa cha Samaria ni mwana wa Remalia peke yake. Kama hamtasimama thabiti katika imani yenu, hamtaimarika kamwe.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena kichwa cha Efraimu ni Samaria, na kichwa cha Samaria ni mwana wa Remalia. Ikiwa hamtasimama imara katika imani, hamtathibitika kamwe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kichwa cha Efuraimu ni Samaria, nacho kichwa cha Samaria ni mwana wa Remalia. Ikiwa mnakosa wa kumtegemea, kweli hamtategemezwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)