Isaiah 8:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu alinionya kwa nguvu nisifuate njia za watu hawa, akaniambia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu alisema nami mkono wake wenye nguvu ukiwa juu yangu, akinionya nisifuate njia za taifa hili. Akasema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Bwana aliniambia hivi, kwa mkono hodari, akanifundisha nisiende katika njia ya watu hawa, akisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu alinionya kwa nguvu nisifuate njia za watu hawa, akaniambia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA alisema nami mkono wake wenye nguvu ukiwa juu yangu, akinionya nisifuate njia za taifa hili. Akasema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana alisema nami mkono wake wenye nguvu ukiwa juu yangu, akinionya nisifuate njia za taifa hili. Akasema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana BWANA aliniambia hivi, kwa mkono hodari, akanifundisha nisiende katika njia ya watu hawa, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu alinionya kwa nguvu nisifuate njia za watu hawa, akaniambia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hivi ndivyo, Bwana alivyoniambia aliponishika mkono na kunionya, nisiifuate njia ya watu wa ukoo huu, akisema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana BWANA aliniambia hivi, kwa mkono hodari, akanifundisha nisiende katika njia ya watu hawa, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe alinionya kwa nguvu nisifuate njia za watu hawa, akaniambia: