Isaiah 8:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Usijumuike nao katika njama zao, wala usiogope yale wanayoyaogopa wala kuwa na hofu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Usiite fitina kila kitu ambacho watu hawa hukiita fitina, usiogope kile wanachokiogopa, wala usikihofu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msiseme, Ni fitina, katika habari za mambo yote ambayo watu hawa watasema, Ni fitina; msihofu kwa hofu yao, wala msiogope.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Usijumuike nao katika njama zao, wala usiogope yale wanayoyaogopa wala kuwa na hofu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Usiite fitina kila kitu ambacho watu hawa hukiita fitina, usiogope kile wanachokiogopa, wala usikihofu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Usiite fitina kila kitu ambacho watu hawa hukiita fitina, usiogope kile wanachokiogopa, wala usikihofu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msiseme, Ni njama, kuhusu mambo yote ambayo watu hawa watasema, Ni njama; msihofu kwa hofu yao, wala msiogope.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Usijumuike nao katika njama zao, wala usiogope yale wanayoyaogopa wala kuwa na hofu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msiite angamizo vyote, watu wa ukoo huu wanavyoviita angamizo! Wala msiyaogope, wanayoyaogopa, wala msiyastukie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msiseme, Ni fitina, katika habari za mambo yote ambayo watu hawa watasema, Ni fitina; msihofu kwa hofu yao, wala msiogope.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musijiunge nao katika mashauri yao mabaya, wala musiogope yale wanayoyaogopa wala kuwa na hofu.