Isaiah 8:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitamngojea Mwenyezi-Mungu ambaye amejificha mbali na wazawa wa Yakobo; nitamtumainia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitamngojea Mwenyezi Mungu, ambaye ameificha nyumba ya Yakobo uso wake. Nitaliweka tumaini langu kwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitamngojea Bwana, awafichaye uso wake nyumba ya Yakobo, nami nitamtazamia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitamngojea Mwenyezi-Mungu ambaye amejificha mbali na wazawa wa Yakobo; nitamtumainia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitamngojea BWANA, ambaye ameificha nyumba ya Yakobo uso wake. Nitaliweka tumaini langu kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitamngojea bwana, ambaye ameificha nyumba ya Yakobo uso wake. Nitaliweka tumaini langu kwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitamngojea BWANA, awafichaye uso wake nyumba ya Yakobo, nami nitamtazamia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitamngojea Mwenyezi-Mungu ambaye amejificha mbali na wazawa wa Yakobo; nitamtumainia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, sasa nitakuwa ninamwegemea Bwana na kumngojea, maana amewaficha uso wake walio mlango wa Yakobo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitamngojea BWANA, awafichaye uso wake nyumba ya Yakobo, nami nitamtazamia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitamungojea Yawe ambaye amejificha mbali na wazao wa Yakobo; nitamutumainia.