Isaiah 8:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi pamoja na watoto alionipa Mwenyezi-Mungu ni ishara na alama katika Israeli kwa jina la Mwenyezi-Mungu wa majeshi akaaye mlimani Siyoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niko hapa, pamoja na watoto ambao Mwenyezi Mungu amenipa. Sisi ni ishara na mfano wake katika Israeli, kutoka kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, anayeishi juu ya Mlima Sayuni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Angalieni, mimi na watoto hawa niliopewa na Bwana tu ishara na ajabu katika Israeli, zitokazo kwa Bwana wa majeshi, yeye akaaye katika mlima Sayuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi pamoja na watoto alionipa Mwenyezi-Mungu ni ishara na alama katika Israeli kwa jina la Mwenyezi-Mungu wa majeshi akaaye mlimani Siyoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nipo hapa pamoja na watoto ambao BWANA amenipa. Sisi ni ishara na mfano wake katika Israeli, kutoka kwa BWANA Mwenye Nguvu Zote, anayeishi juu ya Mlima Sayuni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niko hapa, pamoja na watoto ambao bwana amenipa. Sisi ni ishara na mfano wake katika Israeli, kutoka kwa bwana Mwenye Nguvu Zote, anayeishi juu ya Mlima Sayuni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Angalieni, mimi na watoto hawa niliopewa na BWANA tu ishara na ajabu katika Israeli, zitokazo kwa BWANA wa majeshi, yeye akaaye katika mlima Sayuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi pamoja na watoto alionipa Mwenyezi-Mungu ni ishara na alama katika Israeli kwa jina la Mwenyezi-Mungu wa majeshi akaaye mlimani Siyoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama, mimi pamoja na hawa watoto, Bwana alionipa, tunakuwa vielekezo na vioja kwao Waisiraeli; ndivyo, alivyotuwekea Bwana Mwenye vikosi akaaye mlimani kwa Sioni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Angalieni, mimi na watoto hawa niliopewa na BWANA tu ishara na ajabu katika Israeli, zitokazo kwa BWANA wa majeshi, yeye akaaye katika mlima Sayuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi pamoja na watoto Yawe alionipa ni kitambulisho na mufano katika Israeli kwa jina la Yawe wa majeshi anayekaa kwenye mulima Sayuni.