Isaiah 8:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nikajipatia mashahidi wawili waaminifu ambao wangenishuhudia: Kuhani Uria na Zekaria, mwana wa Yeberekia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami nitawaita kuhani Uria, na Zekaria mwana wa Yeberekia kama mashahidi wangu waaminifu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitajipatia mashahidi waaminifu ili kuandika habari, yaani, Uria, kuhani, na Zekaria, mwana wa Yeberekia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nikajipatia mashahidi wawili waaminifu ambao wangenishuhudia: Kuhani Uria na Zekaria, mwana wa Yeberekia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami nitawaita kuhani Uria na Zekaria mwana wa Yeberekia kama mashahidi wangu waaminifu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami nitawaita kuhani Uria, na Zekaria mwana wa Yeberekia kama mashahidi wangu waaminifu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitajipatia mashahidi waaminifu ili kuandika habari, yaani, Uria, kuhani, na Zekaria, mwana wa Yeberekia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nikajipatia mashahidi wawili waaminifu ambao wangenishuhudia: Kuhani Uria na Zekaria, mwana wa Yeberekia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nitachukua mashahidi welekevu, wanishuhudie, ni mtambikaji Uria na Zakaria, mwana wa Yeberekia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitajipatia mashahidi waaminifu ili kuandika habari, yaani, Uria, kuhani, na Zekaria, mwana wa Yeberekia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nikajipatia washuhuda wawili waaminifu ambao wangenishuhudia: Kuhani Uria na Zekaria mwana wa Yeberekia.