Isaiah 8:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kuiangalia dunia, lakini wataona tu taabu, giza na mauzauza ya shida. Hakuna atakayeliepa giza hilo kuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wataangalia duniani na kuona tu dhiki na giza, hofu na huzuni tupu, nao watasukumiwa kwenye giza nene kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao wataiangalia nchi, na, tazama, shida na giza; hapana changamko kwa sababu ya dhiki; nao watafukuzwa na kuingia katika giza kubwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kuiangalia dunia, lakini wataona tu taabu, giza na mauzauza ya shida. Hakuna atakayeliepa giza hilo kuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wataangalia duniani na kuona dhiki na giza, hofu na huzuni tupu, nao watasukumiwa kwenye giza nene kabisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wataangalia duniani na kuona tu dhiki na giza, hofu na huzuni tupu, nao watasukumiwa kwenye giza nene kabisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao wataiangalia nchi, na, tazama, shida na giza; hapatakuwa changamko kwa sababu ya dhiki; nao watafukuzwa na kuingia katika giza kubwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kuiangalia dunia, lakini wataona tu taabu, giza na mauzauza ya shida. Hakuna atakayeliepa giza hilo kuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha hutazama chini tena kwa kusongeka na kukosa mwanga, kwani wamo katika giza, nalo linawaogopesha, kwani wamesukumwa kukaa katika usiku mweusi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao wataiangalia nchi, na, tazama, shida na giza; hapana changamko kwa sababu ya dhiki; nao watafukuzwa na kuingia katika giza kubwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kuiangalia dunia, lakini wataona tu taabu, giza na mateso makubwa. Hakuna atakayeepuka giza hilo kubwa.