Isaiah 8:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nililala na mke wangu ambaye pia ni nabii, akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume. Mwenyezi-Mungu akaniambia, “Mpe mtoto huyo jina ‘Teka-haraka-pokonya-upesi.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha nikaenda kwa nabii mke, naye akapata mimba, akazaa mwana. Kisha Mwenyezi Mungu akaniambia, “Mwite huyo mtoto Maher-Shalal-Hash-Bazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nikamwendea huyo nabii mke, naye akapata mimba, akazaa mtoto mwanamume. Kisha Bwana akaniambia, Mwite jina lake Maher-shalal-hash-bazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nililala na mke wangu ambaye pia ni nabii, akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume. Mwenyezi-Mungu akaniambia, “Mpe mtoto huyo jina ‘Teka-haraka-pokonya-upesi.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha nikaenda kwa nabii mke, naye akapata mimba akazaa mwana. Kisha BWANA akaniambia, “Mwite huyo mtoto Maher-Shalal-Hash-Bazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha nikaenda kwa nabii mke, naye akapata mimba, akazaa mwana. Kisha bwana akaniambia, “Mwite huyo mtoto Maher-Shalal-Hash-Bazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nikalala na nabii mwanamke, naye akapata mimba, akazaa mtoto wa kiume. Kisha BWANA akaniambia, Mwite jina lake Maher-shalal-hash-bazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nililala na mke wangu ambaye pia ni nabii, akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume. Mwenyezi-Mungu akaniambia, “Mpe mtoto huyo jina ‘Teka-haraka-pokonya-upesi.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nikafika kwake mfumbuaji wa kike; akapata mimba, akazaa mwana wa kiume. Bwana akaniambia: Ita jina lake Teka upesi! Pokonya hima!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nikamwendea huyo nabii mke, naye akapata mimba, akazaa mtoto mwanamume. Kisha BWANA akaniambia, Mwite jina lake Maher-shalal-hash-bazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikalala na muke wangu ambaye vilevile ni nabii, akapata mimba, akazaa mutoto mwanaume. Yawe akaniambia: Umupe mutoto huyo jina “Teka-haraka-nyanganya-upesi.”