Isaiah 8:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, mimi Bwana nitawaletea mafuriko makuu ya maji ya mto Eufrate yaani mfalme wa Ashuru na nguvu zake zote; yatafurika na kupita kingo zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa hiyo Bwana yu karibu kuleta dhidi yao mafuriko makubwa ya Mto: yaani mfalme wa Ashuru na fahari yake yote. Yatafurika juu ya mifereji yake yote, yatamwagikia juu ya kingo zake zote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi sasa angalia; Bwana aleta juu yao maji ya huo Mto, yenye nguvu, mengi sana, nayo ni mfalme wa Ashuru na utukufu wake wote; naye atakuja, na kupita juu ya mifereji yake yote, atafurika juu ya kingo zake zote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, mimi Bwana nitawaletea mafuriko makuu ya maji ya mto Eufrate yaani mfalme wa Ashuru na nguvu zake zote; yatafurika na kupita kingo zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa hiyo Bwana yu karibu kuleta dhidi yao mafuriko makubwa ya Mto, mfalme wa Ashuru na fahari yake yote. Yatafurika juu ya mifereji yake yote, yatamwagikia juu ya kingo zake zote
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa hiyo Bwana yu karibu kuleta dhidi yao mafuriko makubwa ya Mto: yaani mfalme wa Ashuru na fahari yake yote. Yatafurika juu ya mifereji yake yote, yatamwagikia juu ya kingo zake zote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi sasa angalia; Bwana aleta juu yao maji ya huo Mto, yenye nguvu, mengi sana, nayo ni mfalme wa Ashuru na utukufu wake wote; naye atakuja, na kupita juu ya mifereji yake yote, atafurika juu ya kingo zake zote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, mimi Bwana nitawaletea mafuriko makuu ya maji ya mto Eufrate yaani mfalme wa Ashuru na nguvu zake zote; yatafurika na kupita kingo zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa sababu hii wataona, Bwana akiwaletea maji makali ya jito kubwa yaliyo mengi; kwani mfalme wa Asuri atakuja na utukufu wake wote. Hapo ndipo, vijito vyote vitakapopanda kwa kuwa na maji mengi, nayo yatapita kingo zao zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi sasa angalia; Bwana aleta juu yao maji ya huo Mto, yenye nguvu, mengi sana, nayo ni mfalme wa Ashuru na utukufu wake wote; naye atakuja, na kupita juu ya mifereji yake yote, atafurika juu ya kingo zake zote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, Bwana wao atawaletea mafuriko makubwa ya maji ya muto Furati, ni kusema mufalme wa Asuria na nguvu zake zote; yatafurika na kupita kingo zake.