Isaiah 9:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mwenyezi-Mungu atawaletea wapinzani na kuwachochea maadui zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Mwenyezi Mungu amemtia nguvu adui wa Resini dhidi yao na kuchochea watesi wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu hiyo Bwana atawainua adui wa Resini juu yake, naye atawachochea adui zake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mwenyezi-Mungu atawaletea wapinzani na kuwachochea maadui zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini BWANA amemtia nguvu adui wa Resini dhidi yao na kuchochea watesi wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini bwana amemtia nguvu adui wa Resini dhidi yao na kuchochea watesi wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu hiyo BWANA atawainua adui wa Resini juu yake, naye atawachochea adui zake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mwenyezi-Mungu atawaletea wapinzani na kuwachochea maadui zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Bwana alipandisha kwao vikosi vya Resini, viwasonge, nao adui zao akawachochea, wawajie:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu hiyo BWANA atawainua adui wa Resini juu yake, naye atawachochea adui zake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waasuria kwa upande wa mashariki, Wafilistini kwa upande wa magaribi, wamepanua vinywa vyao kwa kuimeza Israeli. Hata hivyo, hasira yake haijatulia, angali ananyoosha mukono wake kwa kuwaazibu.