Isaiah 9:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi kwa muda wa siku moja tu, Mwenyezi-Mungu atakata katika Israeli vichwa na mikia, tawi la mtende na nyasi:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Mwenyezi Mungu atakatilia mbali kutoka Israeli kichwa na mkia, tawi la mtende na tete katika siku moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu hiyo Bwana atakata katika Israeli kichwa na mkia, kuti na nyasi, katika siku moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi kwa muda wa siku moja tu, Mwenyezi-Mungu atakata katika Israeli vichwa na mikia, tawi la mtende na nyasi:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo BWANA atakatilia mbali kutoka Israeli kichwa na mkia, tawi la mtende na unyasi katika siku moja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo bwana atakatilia mbali kutoka Israeli kichwa na mkia, tawi la mtende na tete katika siku moja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu hiyo BWANA atakata katika Israeli kichwa na mkia, kuti na nyasi, katika siku moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi kwa muda wa siku moja tu, Mwenyezi-Mungu atakata katika Israeli vichwa na mikia, tawi la mtende na nyasi:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, siku moja Bwana alikata kwao Waisiraeli kichwa na mkia, hata makuti na majani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu hiyo BWANA atakata katika Israeli kichwa na mkia, kuti na nyasi, katika siku moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kichwa ni wazee na waheshimiwa, mukia ni manabii wanaofundisha uongo.