Isaiah 9:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana nira nzito walizobeba, nira walizokuwa wamefungwa, na fimbo ya wanyapara wao, umezivunjavunja kama wakati wa Wamidiani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama vile siku ya kushindwa kwa Wamidiani, umevunja nira iliyowalemea, ile gongo mabegani mwao na fimbo ya aliyewadhulumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana umeivunja nira ya mzigo wake, na gongo la bega lake, na fimbo yake yeye aliyemwonea, kama katika siku ya Midiani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana nira nzito walizobeba, nira walizokuwa wamefungwa, na fimbo ya wanyapara wao, umezivunjavunja kama wakati wa Wamidiani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama katika siku ya kushindwa kwa Wamidiani, umevunja nira ile iliyowalemea, gongo mabegani mwao na fimbo yake yeye aliyewaonea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama vile siku ya kushindwa kwa Wamidiani, umevunja nira iliyowalemea, ile gongo mabegani mwao na fimbo yake yeye aliyewaonea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana umeivunja nira ya mzigo wake, na gongo la bega lake, na fimbo yake yeye aliyemwonea, kama katika siku ya Midiani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana nira nzito walizobeba, nira walizokuwa wamefungwa, na fimbo ya wanyapara wao, umezivunjavunja kama wakati wa Wamidiani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani umeivunja miti ya kuchukulia mizigo pamoja na magongo yaliyowapiga migongoni, nazo fimbo za wasimamizi, kama ulivyofanya siku ya kuwapatiliza Wamidiani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana umeivunja nira ya mzigo wake, na gongo la bega lake, na fimbo yake yeye aliyemwonea, kama katika siku ya Midiani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Viatu vyote vya washambulizi katika vita na nguo zote zenye kujaa damu vitateketezwa kama kuni za kuwasha moto.