James 1:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
naye tajiri anapaswa kufurahi anaposhushwa na Mungu. Maana tajiri atatoweka kama ua la porini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini yeye aliye tajiri afurahi kwa kuwa ameshushwa, kwa sababu atatoweka kama ua la shambani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali tajiri kwa kuwa ameshushwa; kwa maana kama ua la majani atatoweka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na waaminio walio matajiri wawe na furaha sana tu pale Mungu anapowashusha chini. Kwani utajiri wao hautawazuia kufa kama maua ya porini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
naye tajiri anapaswa kufurahi anaposhushwa na Mungu. Maana tajiri atatoweka kama ua la porini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naye tajiri anapaswa kufurahi anaposhushwa na Mungu. Maana tajiri atatoweka kama ua la porini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini yeye aliye tajiri afurahi kwa kuwa ameshushwa, kwa sababu atatoweka kama ua la shambani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini yeye aliye tajiri afurahi kwa kuwa ameshushwa, kwa sababu atatoweka kama ua la shambani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali tajiri kwa kuwa ameshushwa; kwa maana atatoweka kama ua la majani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
naye tajiri anapaswa kufurahi anaposhushwa na Mungu. Maana tajiri atatoweka kama ua la porini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
naye mwenye mali na ajivunie unyenyekevu wake, kwani atanyauka kama maua ya majani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali tajiri kwa kuwa ameshushwa; kwa maana kama ua la majani atatoweka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na ndugu anayekuwa tajiri afurahi kwa sababu Mungu anamushusha. Maana tajiri atatoweka kama maua ya pori.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na tajiri kwa kuwa ameshushwa: kwa maana kama ua la majani atatoweka.