James 1:13 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mtu akijaribiwa, asiseme: “Ninajaribiwa na Mungu.” Maana Mungu hawezi kujaribiwa na uovu, wala yeye hamjaribu mtu yeyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu anapojaribiwa asiseme, “Ninajaribiwa na Mungu.” Kwa maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu wala yeye hamjaribu mtu yeyote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yeyote anayejaribiwa hapaswi kusema, “Jaribu hili linatoka kwa Mungu,” kwa sababu maovu hayamjaribu Mungu na hamjaribu mtu yeyote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama mtu akijaribiwa, asiseme: “Ninajaribiwa na Mungu.” Maana Mungu hawezi kujaribiwa na uovu, wala yeye hamjaribu mtu yeyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mtu akijaribiwa, asiseme: “Ninajaribiwa na Mungu.” Maana Mungu hawezi kujaribiwa na uovu, wala yeye hamjaribu mtu yeyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu anapojaribiwa asiseme, “Ninajaribiwa na Mungu.” Kwa maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu wala yeye hamjaribu mtu ye yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu anapojaribiwa asiseme, “Ninajaribiwa na Mungu.” Kwa maana Mwenyezi Mungu hawezi kujaribiwa na maovu wala yeye hamjaribu mtu yeyote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mtu akijaribiwa, asiseme: “Ninajaribiwa na Mungu.” Maana Mungu hawezi kujaribiwa na uovu, wala yeye hamjaribu mtu yeyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akijaribiwa asiseme: Najaribiwa na Mungu! Kwani Mungu hajaribiki nayo maovu, naye mwenyewe hajaribu mtu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati mutu anapojaribiwa, asiseme hivi: “Ninajaribiwa na Mungu!” Kwa maana Mungu hawezi kujaribiwa na ubaya, wala yeye mwenyewe hawezi kumujaribu mutu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mtu, ajarihiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu: maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu.