James 1:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo mtu aliye na mashaka, mwenye nia mbili na asiye na msimamo katika mwenendo wake wote, asidhani ya kwamba atapata chochote kile kutoka kwa Bwana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu kama huyo asidhani ya kuwa atapata kitu chochote kutoka kwa Bwana Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mtu kama yule asidhani ya kuwa atapokea kitu kwa Bwana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mtu wa jinsi hiyo asidhani kuwa anaweza kupokea cho chote kutoka kwa Bwana;
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mtu wa namna hiyo, mwenye nia mbili na asiye na msimamo katika mwenendo wake wote,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo mtu aliye na mashaka, mwenye nia mbili na asiye na msimamo katika mwenendo wake wote, asidhani ya kwamba atapata chochote kile kutoka kwa Bwana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu kama huyo asidhani ya kuwa atapata kitu cho chote kutoka kwa Bwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu kama huyo asidhani ya kuwa atapata kitu chochote kutoka kwa Bwana Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mtu kama yule asidhani ya kuwa atapokea kitu kwa Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo mtu aliye na mashaka, mwenye nia mbili na asiye na msimamo katika mwenendo wake wote, asidhani ya kwamba atapata chochote kile kutoka kwa Bwana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu aliye hivyo asidhani, ya kuwa kiko, atakachokipata kwake Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mtu kama yule asidhani ya kuwa atapokea kitu kwa Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu wa namna hiyo asizani kwamba atapokea kitu chochote kutoka kwa Bwana,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana mtu yule asidhani ya kuwa atapokea kitu kwa Bwana;