James 2:4 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
je, huo si ubaguzi kati yenu? Je, na huo uamuzi wenu haujatokana na fikira mbaya?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
je, hamjabagua kati yenu wenyewe na kuwa mahakimu wenye mawazo maovu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
je! Hamkufanya hitilafu mioyoni mwenu, mkawa waamuzi wenye mawazo mabovu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Je, hiyo haioneshi kwamba mnafikiri miongoni mwenu kuwa baadhi ya watu ni bora kuliko wengine? Mmesimama kama mahakimu wenye maamuzi mabaya?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
je, huo si ubaguzi kati yenu? Je, na huo uamuzi wenu haujatokana na fikira mbaya?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
je, huo si ubaguzi kati yenu? Je, na huo uamuzi wenu haujatokana na fikira mbaya?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
je, hamjawabagua na kuwa mahakimu mioyoni mwenu mkihukumu kwa mawazo yenu maovu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
je, hamjawabagua na kuwa mahakimu mioyoni mwenu mkihukumu kwa mawazo yenu maovu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
je! Hamkufanya hitilafu mioyoni mwenu, mkawa waamuzi wenye mawazo maovu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
je, huo si ubaguzi kati yenu? Je, na huo uamuzi wenu haujatokana na fikira mbaya?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
je? Hivyo mioyo yenu haikujiumbua kwamba: Mkiwagawanya hivyo mmefuata mawazo mabaya?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
je! Hamkufanya hitilafu mioyoni mwenu, mkawa waamuzi wenye mawazo mabovu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jambo hilo halionyeshi kwamba munafanya ubaguzi, na kwamba kwa kuamua vile munaongozwa na mawazo mabaya?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
je! hamkufanya ihtilafu mioyoni mwenu mkawa waamuzi wenye mawazo mabovu?