James 2:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, si haohao wanaolitukana hilo jina lenu zuri mlilopewa?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, si wao wanalikufuru jina lile bora sana mliloitiwa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hawalitukani jina lile zuri mliloitwa?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Je, si ndiyo hao hao wanaolitukana Jina zuri la Bwana wenu?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, si haohao wanaolitukana hilo jina lenu zuri mlilopewa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, si haohao wanaolitukana hilo jina lenu zuri mlilopewa?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, si wao wanaolikufuru Jina lile lililo bora sana mliloitiwa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, si wao wanaolikufuru Jina lile lililo bora sana mliloitiwa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawalitukani jina lile zuri mliloitwa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, si haohao wanaolitukana hilo jina lenu zuri mlilopewa?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao sio wanaolitukana lile Jina zuri, mwitwalo nalo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hawalitukani jina lile zuri mliloitwa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile si wao ndio wanaotukana jina lile nzuri mulilopewa?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hawalitukani jina lile zuri mliloitwa?