James 2:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mkiwabagua watu, basi, mwatenda dhambi, nayo sheria inawahukumu nyinyi kuwa mna hatia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mkiwapendelea watu, mnatenda dhambi, na sheria inawahukumu kuwa wakosaji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali mkiwapendelea watu, mwafanya dhambi na kuhukumiwa na sheria kuwa wakosaji.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini kama mtakuwa mnaonyesha upendeleo, mtakuwa mnafanya dhambi na mtahukumiwa kuwa na hatia kama wavunja sheria.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini mkiwabagua watu, basi, mwatenda dhambi, nayo Sheria inawahukumu ninyi kuwa mna hatia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mkiwabagua watu, basi, mwatenda dhambi, nayo sheria inawahukumu nyinyi kuwa mna hatia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama mnakuwa na upendeleo kwa watu, mnatenda dhambi na sheria inawahukumu kuwa ninyi ni wakosaji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama mnakuwa na upendeleo kwa watu, mnatenda dhambi, na sheria inawahukumu kuwa ninyi ni wakosaji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali mkiwapendelea watu, mwafanya dhambi na kuhukumiwa na sheria kuwa wakosaji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mkiwabagua watu, basi, mwatenda dhambi, nayo sheria inawahukumu nyinyi kuwa mna hatia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mkiwapendelea watu mnakosa, mkajulishwa na hilo agizo waziwazi kuwa wenye kulipita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali mkiwapendelea watu, mwafanya dhambi na kuhukumiwa na sheria kuwa wakosaji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama mukifanya upendeleo, munafanya zambi, nanyi munahukumiwa na Sheria kwa sababu mumeivunja.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bali mkiwapendelea watu, mwafanya dhambi na kuhukumiwa na sharia kama wakosaji.