James 3:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, chemchemi moja yaweza kutoa maji matamu na maji machungu pamoja?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, chemchemi moja inaweza kutoa katika tundu moja maji matamu na maji ya chumvi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Chemchemi katika jicho moja hutoa maji matamu na maji machungu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Chemichemi ya maji haiwezi kutoa maji matamu na maji machungu kutoka katika tundu moja, je inawezekana?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, chemchemi moja yaweza kutoa maji matamu na maji machungu pamoja?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, chemchemi moja yaweza kutoa maji matamu na maji machungu pamoja?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, chemchemi yaweza kutoa katika tundu moja maji matamu na maji ya chumvi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, chemchemi yaweza kutoa katika tundu moja maji matamu na maji ya chumvi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Chemchemi katika jicho moja hutoa maji matamu na maji machungu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, chemchemi moja yaweza kutoa maji matamu na maji machungu pamoja?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Iko chemchemi inayotoa maji matamu na machungu katika kisima kilekile kimoja?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Chemchemi katika jicho moja hutoa maji matamu na maji machungu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maji matamu na maji machungu hayawezi kutiririka tokea fasi moja ndani ya kisima kimoja.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Je! chemchemi katika jicho moja hutoa maji matamu na maji machungu?