James 3:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana popote palipo na wivu na ubinafsi, hapo pana fujo na kila aina ya uovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana panapokuwa na wivu na ubinafsi, ndipo penye machafuko na uovu wa kila namna.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hapo palipo wivu na ugomvi ndipo palipo machafuko, na kila tendo baya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa sababu pale penye wivu na ubinafsi, basi panakuwepo vurugu na kila aina ya matendo maovu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana popote palipo na wivu na ubinafsi hapo pana fujo na kila aina ya uovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana popote palipo na wivu na ubinafsi, hapo pana fujo na kila aina ya uovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana panapokuwa na wivu na ubinafsi ndipo penye machafuko na uovu wa kila namna.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana panapokuwa na wivu na ubinafsi, ndipo penye machafuko na uovu wa kila namna.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hapo palipo wivu na ugomvi ndipo palipo machafuko, na kila tendo baya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana popote palipo na wivu na ubinafsi, hapo pana fujo na kila aina ya uovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wivu na uchokozi ulipo, ndipo palipo penye matata na mambo maovu yo yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hapo palipo wivu na ugomvi ndipo palipo machafuko, na kila tendo baya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana pahali kunapokuwa wivu na roho ya ugomvi, kuko machafuko vilevile na kila tendo baya.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
maana hapo palipo wivu na magomvi, ndipo palipo machafuko, na killa tendo la aibu.