James 3:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Binadamu anaweza kuwafuga wanyama, na amefaulu kufuga viumbe vyote — wanyama wa mwituni, ndege, nyoka na viumbe vya baharini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana kila aina ya wanyama, ndege, wanyama watambaao na viumbe vya baharini hufugika na hufugwa na binadamu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kila aina ya wanyama, na ya ndege, na ya vitambaavyo, na ya vitu vilivyomo baharini, vinafugika, navyo vimekwisha kufugwa na wanadamu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Aina zote za wanyama na ndege, mijusi na viumbe vya baharini wanaweza kufugwa na wanadamu wamekuwa wanawafuga.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Binadamu anaweza kuwafuga wanyama, na amefaulu kufuga viumbe vyote—wanyama wa mwituni, ndege, nyoka na viumbe vya baharini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Binadamu anaweza kuwafuga wanyama, na amefaulu kufuga viumbe vyote — wanyama wa mwituni, ndege, nyoka na viumbe vya baharini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana kila aina ya wanyama, ndege, wanyama watambaao na viumbe vya baharini vinafugika na vimefugwa na binadamu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana kila aina ya wanyama, ndege, wanyama watambaao na viumbe vya baharini vinafugika na vimefugwa na binadamu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kila aina ya wanyama, na ya ndege, na ya vitambaavyo, na ya vitu vilivyomo baharini, vinafugika, navyo vimekwisha kufugwa na wanadamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Binadamu anaweza kuwafuga wanyama, na amefaulu kufuga viumbe vyote – wanyama wa mwituni, ndege, nyoka na viumbe vya baharini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani nyama wo wote, kama nyama wa porini na ndege na nyoka na nyama wa baharini, wote hufugika, nao wamekwisha fugwa na nguvu za watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kila aina ya wanyama, na ya ndege, na ya vitambaavyo, na ya vitu vilivyomo baharini, vinafugika, navyo vimekwisha kufugwa na wanadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila namna ya nyama, ndege, nyoka na samaki wanaweza kufugwa na mutu, na wamekwisha kufugwa naye.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana killa aina ya nyama, na ya ndege, na ya nyama watambaao, na ya vitu vilivyo baharini vinafugika, navyo vimekwisha kufugwa na wana Adamu.