James 4:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini sasa mwajivuna na kujigamba; majivuno ya namna hiyo ni mabaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilivyo sasa, mnajisifu na kujigamba. Kujisifu kote kwa namna hii ni uovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini sasa mwajisifu katika majivuno yenu; kujisifu kote kwa namna hii ni kubaya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kama ilivyo, ninyi mna kiburi na kujivuna. Majivuno yote ya jinsi hiyo ni uovu!
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini sasa mwajivuna na kujigamba; majivuno ya namna hiyo ni mabaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini sasa mwajivuna na kujigamba; majivuno ya namna hiyo ni mabaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ilivyo sasa, mnajisifu na kujigamba. Kujisifu kwa namna hiyo ni uovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ilivyo sasa, mnajisifu na kujigamba. Kujisifu kwa namna hiyo ni uovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini sasa mwajisifu katika majivuno yenu; kujisifu kote kwa namna hii ni kubaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini sasa mwajivuna na kujigamba; majivuno ya namna hiyo ni mabaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini sasa mwajivunia kwa kujitutumua; majivuno yote yaliyo hivyo ni mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini sasa mwajisifu katika majivuno yenu; kujisifu kote kwa namna hii ni kubaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini sasa munajivuna na kujisifu. Majivuno yote ya namna hii ni mabaya.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini sasa mwajisifu katika majivuno yenu; kujisifu kwote kwa namna hii ni kubaya.