James 4:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Oneni huzuni, lieni na kuomboleza; kicheko chenu na kiwe kilio; na furaha yenu iwe huzuni kubwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huzunikeni, na mwomboleze, na kulia. Kicheko chenu na kigeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa huzuni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huzunikeni na kuomboleza na kulia. Kucheka kwenu na kugeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa hamu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ombolezeni na kulia! Kicheko chenu na kigeuzwe kuwa maombolezo, na furaha yenu igeuzwe kuwa huzuni kubwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Oneni huzuni, lieni na kuomboleza; kicheko chenu na kiwe kilio; na furaha yenu iwe huzuni kubwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Oneni huzuni, lieni na kuomboleza; kicheko chenu na kiwe kilio; na furaha yenu iwe huzuni kubwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huzunikeni, ombolezeni na kulia. Kicheko chenu na kigeuzwe kuwa kuomboleza na furaha yenu kuwa huzuni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huzunikeni, ombolezeni na kulia. Kicheko chenu na kigeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa huzuni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huzunikeni na kuomboleza na kulia. Kucheka kwenu na kugeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa huzuni kubwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Oneni huzuni, lieni na kuomboleza; kicheko chenu na kiwe kilio; na furaha yenu iwe huzuni kubwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jisumbueni na kusikitika na kuomboleza! Macheko yenu yageuke kuwa vilio, nazo furaha zenu zigeuke kuwa masikitiko!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huzunikeni na kuomboleza na kulia. Kucheka kwenu na kugeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa hamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikitike, mulie na kulalamika. Kucheka kwenu kugeuke kuwa kilio, na furaha yenu igeuke kuwa huzuni.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Jihuzunisheni na kuomboleza na kulia. Kucheka kwenu kugeuzwe kuwa kuomboleza na furaha yenu kuwa hamu.