James 5:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndugu zangu, mmoja wenu akipotoka kuhusu ukweli, na mwingine akamrudisha,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndugu zangu, yeyote miongoni mwenu akipotoka na kuicha kweli, naye akarejeshwa na mtu mwingine,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndugu zangu, ikiwa mtu wa kwenu amepotelea mbali na kweli, na mtu mwingine akamrejeza;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kaka na dada zangu Ndugu zangu, kama mmoja wenu atapotoka katika kweli, na mwingine akamrejeza,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndugu zangu, mmoja wenu akipotoka kuhusu ukweli, na mwingine akamrudisha,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndugu zangu, mmoja wenu akipotoka kuhusu ukweli, na mwingine akamrudisha,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndugu zangu, ye yote miongoni mwenu akipotoka na kuicha kweli, naye akarejezwa na mtu mwingine,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndugu zangu, yeyote miongoni mwenu akipotoka na kuicha kweli, naye akarejezwa na mtu mwingine,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndugu zangu, mtu yeyote miongoni mwenu akipotoka mbali na kweli, na kurejeshwa na mtu mwingine;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndugu zangu, mmoja wenu akipotoka kuhusu ukweli, na mwingine akamrudisha,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndugu zangu, kama kwenu yuko aliyepotea na kuyaacha yaliyo ya kweli, tena mwingine akimrudisha,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndugu zangu, ikiwa mtu wa kwenu amepotelea mbali na kweli, na mtu mwingine akamrejeza;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wandugu zangu, mutu mumoja kati yenu akipotea mbali na ukweli, na mutu mwingine akimurudisha,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ndugu, ikiwa mtu wa kwenu amepotelea mbali ya kweli, na mtu mwingine akamrejeza;