James 5:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mmemhukumu na kumuua mtu asiye na hatia, naye hakuwapingeni!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mmewahukumu na kuwaua watu wenye haki, waliokuwa hawapingani nanyi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mmehukumu mwenye haki mkamwua; wala hashindani nanyi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mmehukumu na kuua wale watu wasio na hatia, na ambao hawakupingana nanyi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mmemhukumu na kumwua mtu asiye na hatia, naye hakuwapigeni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mmemhukumu na kumuua mtu asiye na hatia, naye hakuwapingeni!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mmewahukumu na kuwaua watu wenye haki, ambao walikuwa hawapingani nanyi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mmewahukumu na kuwaua watu wenye haki, waliokuwa hawapingani nanyi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mmehukumu mwenye haki mkamwua; wala hashindani nanyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mmemhukumu na kumuua mtu asiye na hatia, naye hakuwapingeni!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwongofu mmemhukumu, mkamwua; naye hakuwabishia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mmehukumu mwenye haki mkamwua; wala hashindani nanyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumewahukumu na kuwaua wenye haki, nao hawakupingana nanyi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mmemhukumu mwenye haki mkamwua: nae hashindani nanyi.