James 5:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndugu zangu, msinung'unikiane nyinyi kwa nyinyi msije mkahukumiwa na Mungu. Hakimu yu karibu, tayari kuingia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndugu zangu, msinung’unikiane, msije mkahukumiwa. Hakimu amesimama mlangoni!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndugu, msinung'unikiane, msije mkahukumiwa. Angalieni, mwamuzi amesimama mbele ya milango.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kaka na dada zangu, msiendelee kunung'unikiana ninyi kwa ninyi, ili msije kuhukumiwa kuwa na hatia. Tazameni! Hakimu anasimama mlangoni akiwa tayari kuingia ndani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndugu zangu, msinung'unikiane ninyi kwa ninyi msije mkahukumiwa na Mungu. Hakimu yu karibu, tayari kuingia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndugu zangu, msinung'unikiane nyinyi kwa nyinyi msije mkahukumiwa na Mungu. Hakimu yu karibu, tayari kuingia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndugu zangu, msinung'unikiane msije mkahukumiwa. Hakimu amesimama mlangoni!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndugu zangu, msinung’unikiane msije mkahukumiwa. Hakimu amesimama mlangoni!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndugu, msinung'unikiane, msije mkahukumiwa. Angalieni, mwamuzi amesimama mbele ya milango.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndugu zangu, msinung'unikiane nyinyi kwa nyinyi msije mkahukumiwa na Mungu. Hakimu yu karibu, tayari kuingia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndugu, msinung'unikiane ninyi kwa ninyi, msipate kuhukumiwa! Tazameni, mhukumu amesimama milangoni mwenu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndugu, msinung’unikiane, msije mkahukumiwa. Angalieni, mwamuzi amesimama mbele ya milango.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wandugu zangu, musinungunikiane ninyi kwa ninyi kusudi Mungu asiwahukumu. Muangalie, mwamuzi ni karibu, naye amekuwa kwenye mulango!
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Msinungʼunikiane, ndugu, msije mkahukumiwa. Angalieni, mwamuzi amesimama mbele ya milango.