Jeremiah 1:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Leo nimekupa mamlaka juu ya mataifa na falme, uwe na mamlaka ya kungoa na kubomoa, mamlaka ya kuharibu na kuangamiza, mamlaka ya kujenga na ya kupanda.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama, leo nimekuweka juu ya mataifa na falme ili kung’oa na kubomoa, kuharibu na kuangamiza, kujenga na kupanda.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
angalia, nimekuweka leo juu ya mataifa na juu ya falme, ili kung'oa, na kubomoa, na kuharibu, na kuangamiza; ili kujenga na kupanda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Leo nimekupa mamlaka juu ya mataifa na falme, uwe na mamlaka ya kung'oa na kubomoa, mamlaka ya kuharibu na kuangamiza, mamlaka ya kujenga na ya kupanda.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama, leo nimekuweka juu ya mataifa na falme ili kung'oa na kubomoa, ili kuharibu na kuangamiza, ili kujenga na kupanda.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama, leo nimekuweka juu ya mataifa na falme ili kung’oa na kubomoa, kuharibu na kuangamiza, kujenga na kupanda.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
angalia, nimekuweka leo juu ya mataifa na juu ya falme, ili kung'oa, na kubomoa, na kuharibu, na kuangamiza; ili kujenga na kupanda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Leo nimekupa mamlaka juu ya mataifa na falme, uwe na mamlaka ya kungoa na kubomoa, mamlaka ya kuharibu na kuangamiza, mamlaka ya kujenga na ya kupanda.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama! Siku hii ya leo nimekupa kuwa mkuu wa mataifa na wa milango ya wafalme, uwe mkuu wa kung'oa na wa kuponda, wa kuangamiza na wa kubomoa, tena wa kujenga na wa kupanda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
angalia, nimekuweka leo juu ya mataifa na juu ya falme, ili kung’oa, na kubomoa, na kuharibu, na kuangamiza; ili kujenga na kupanda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Leo nimekupa mamlaka juu ya mataifa na falme, ukuwe na mamlaka ya kuongoa na kubomoa, mamlaka ya kuharibu na kuangamiza, mamlaka ya kujenga na ya kupanda mbegu.