Jeremiah 1:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami nikajibu, Aa! Bwana Mwenyezi-Mungu, mimi sijui kusema, kwa kuwa bado ningali kijana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami nikasema, “Aa, Bwana Mungu Mwenyezi, sijui kusema, kwani mimi ni mtoto mdogo tu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo niliposema, Aa, Bwana MUNGU! Tazama, siwezi kusema; maana mimi ni mtoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami nikajibu, Aa! Bwana Mwenyezi-Mungu, mimi sijui kusema, kwa kuwa bado ningali kijana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami nikasema, “Aa, BWANA Mwenyezi, sijui kusema, kwani mimi ni mtoto mdogo tu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami nikasema, “Aa, bwana Mwenyezi, sijui kusema, kwani mimi ni mtoto mdogo tu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo niliposema, Aa, Bwana MUNGU! Tazama, siwezi kusema; maana mimi ni mtoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami nikajibu, Aa! Bwana Mwenyezi-Mungu, mimi sijui kusema, kwa kuwa bado ningali kijana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nikasema: E Bwana Mungu, tazama! Sijui kusema, kwani mimi ni kijana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo niliposema, Aa, Bwana MUNGU! Tazama, siwezi kusema; maana mimi ni mtoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami nikajibu: Ee! Bwana wangu Yawe, mimi sijui kusema, ningali bado kijana.