Jeremiah 10:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikilizeni neno analowaambieni Mwenyezi-Mungu, enyi Waisraeli!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikieni lile Mwenyezi Mungu anasema nanyi, ee nyumba ya Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi nyumba ya Israeli, lisikieni neno awaambialo Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikilizeni neno analowaambieni Mwenyezi-Mungu, enyi Waisraeli!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikieni lile ambalo BWANA, anena nanyi Ee nyumba ya Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikieni lile ambalo bwana, anena nanyi ee nyumba ya Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi nyumba ya Israeli, lisikieni neno awaambialo BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikilizeni neno analowaambieni Mwenyezi-Mungu, enyi Waisraeli!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lisikieni neno, Bwana alilowaambia ninyi wa mlango wa Isiraeli!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi nyumba ya Israeli, lisikieni neno awaambialo BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi Waisraeli musikilize neno Yawe analowaambia.