Jeremiah 10:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, utawaambia hivi: “Miungu ambayo haikuumba mbingu na dunia, itaangamia. Itatoweka kabisa duniani na chini ya mbingu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Waambie hivi: ‘Miungu hii, ambayo haikuumba mbingu na dunia, itaangamia duniani na chini ya mbingu.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtawaambia hivi, Miungu hiyo isiyofanya mbingu na nchi, hiyo itaangamia katika nchi, nayo itatoweka chini ya mbingu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, utawaambia hivi: “Miungu ambayo haikuumba mbingu na dunia, itaangamia. Itatoweka kabisa duniani na chini ya mbingu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Waambie hivi: ‘Miungu hii, ambayo haikuumba mbingu na dunia, itaangamia kutoka duniani na kutoka chini ya mbingu.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Waambie hivi: ‘Miungu hii, ambayo haikuumba mbingu na dunia, itaangamia kutoka dunia na kutoka chini ya mbingu.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtawaambia hivi, Miungu hiyo isiyofanya mbingu na nchi, hiyo itaangamia katika nchi, nayo itatoweka chini ya mbingu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, utawaambia hivi: “Miungu ambayo haikuumba mbingu na dunia, itaangamia. Itatoweka kabisa duniani na chini ya mbingu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo mtawaambia: Miungu isiyoziumba mbingu na nchi sharti iangamie ulimwenguni chini ya mbingu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtawaambia hivi, Miungu hiyo isiyofanya mbingu na nchi, hiyo itaangamia katika nchi, nayo itatoweka chini ya mbingu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, utawaambia hivi: Miungu hiyo ambayo haikuumba mbingu na dunia itaangamia. Itatoweka kabisa toka katika dunia, hapa chini ya mbingu.