Jeremiah 10:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anapotoa sauti yake, maji hunguruma mbinguni, huzusha ukungu kutoka mipaka ya dunia. Huufanya umeme umulike wakati wa mvua, na kuutoa upepo katika ghala zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atoapo sauti yake, maji yaliyo katika mbingu hunguruma; huyafanya mawingu yainuke kutoka miisho ya dunia. Hupeleka miali ya radi pamoja na mvua, naye huuleta upepo kutoka ghala zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atoapo sauti yake, pana mshindo wa maji mbinguni, Naye hupandisha mawingu toka ncha za nchi; Huifanyia mvua umeme, Huutoa upepo katika hazina zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anapotoa sauti yake, maji hunguruma mbinguni, huzusha ukungu kutoka mipaka ya dunia. Huufanya umeme umulike wakati wa mvua, na kuutoa upepo katika ghala zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atoapo sauti yake, maji yaliyo katika mbingu hunguruma; huyafanya mawingu yainuke kutoka miisho ya dunia. Hupeleka umeme wa radi pamoja na mvua naye huleta upepo kutoka katika ghala zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atoapo sauti yake, maji yaliyo katika mbingu hunguruma; huyafanya mawingu yainuke kutoka miisho ya dunia. Hupeleka umeme wa radi pamoja na mvua, naye huuleta upepo kutoka ghala zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atoapo sauti yake, pana mshindo wa maji mbinguni, Naye hupandisha mawingu toka ncha za nchi; Huifanyia mvua umeme, Huutoa upepo katika hazina zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anapotoa sauti yake, maji hunguruma mbinguni, huzusha ukungu kutoka mipaka ya dunia. Huufanya umeme umulike wakati wa mvua, na kuutoa upepo katika ghala zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huvumisha maji mbinguni kwa ngurumo na kupandisha mawingu yatokayo mapeoni kwa nchi, kisha hupiga umeme kwenye mvua na kutoa upepo huko, alikouweka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atoapo sauti yake, pana mshindo wa maji mbinguni, Naye hupandisha mawingu toka ncha za nchi; Huifanyia mvua umeme, Huutoa upepo katika hazina zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anapotoa sauti, maji yananguruma katika mbingu, anapandisha mawingu toka kwa miisho ya dunia. Anaufanya umeme upige wakati wa mvua, na kuuvumisha upepo katika gala zake.