Jeremiah 10:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ole wangu mimi Yerusalemu maana nimejeruhiwa! Jeraha langu ni baya sana! Lakini nilisema: “Hakika haya ni mateso, na sina budi kuyavumilia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ole wangu mimi kwa ajili ya kuumia kwangu! Jeraha langu ni kubwa! Lakini nilisema, “Kweli hii ni adhabu yangu, nami sharti niistahimili.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ole wangu, kwa sababu ya jeraha yangu! Pigo langu laumia; lakini nalisema, Kweli, ni huzuni yangu mimi, nami sina budi kuivumilia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ole wangu mimi Yerusalemu maana nimejeruhiwa! Jeraha langu ni baya sana! Lakini nilisema: “Hakika haya ni mateso, na sina budi kuyavumilia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ole wangu mimi kwa ajili ya kuumia kwangu! Jeraha langu ni kubwa! Lakini nilisema, “Kweli hii ni adhabu yangu, nami sharti nistahimili.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ole wangu mimi kwa ajili ya kuumia kwangu! Jeraha langu ni kubwa! Lakini nilisema, “Kweli hii ni adhabu yangu, nami sharti niistahimili.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ole wangu, kwa sababu ya jeraha langu! Pigo langu laumia; lakini nilisema, Kweli, ni huzuni yangu mimi, nami sina budi kuivumilia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ole wangu mimi Yerusalemu maana nimejeruhiwa! Jeraha langu ni baya sana! Lakini nilisema: “Hakika haya ni mateso, na sina budi kuyavumilia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
A, nimevunjika! Pigo langu halitapona! Nasema mwenyewe: Haya ndiyo manyonge yangu, sharti niyavumilie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wangu, kwa sababu ya jeraha yangu! Pigo langu laumia; lakini nalisema, Kweli, ni huzuni yangu mimi, nami sina budi kuivumilia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ole wangu mimi Yerusalema, maana nimeumizwa sana! Kidonda changu ni kikubwa sana! Mimi nilikuwa nikijisemesha hivi: Hakika haya ni magumu tu, nami ninapaswa kuyavumilia.