Jeremiah 10:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami Yeremia nikasema: Wachungaji wamekuwa wajinga, hawakuomba shauri kwa Mwenyezi-Mungu; kwa sababu hiyo, hawakufanikiwa, na kondoo wao wote wametawanyika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wachungaji hawana akili wala hawamuulizi Mwenyezi Mungu, hivyo hawastawi na kundi lao lote la kondoo limetawanyika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu wachungaji wamekuwa kama wanyama, wala hawakuuliza kwa Bwana; basi hawakufanikiwa, na makundi yao yote yametawanyika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami Yeremia nikasema: Wachungaji wamekuwa wajinga, hawakuomba shauri kwa Mwenyezi-Mungu; kwa sababu hiyo, hawakufanikiwa, na kondoo wao wote wametawanyika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wachungaji hawana akili wala hawamulizi BWANA, hivyo hawastawi na kundi lao lote la kondoo na mbuzi limetawanyika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wachungaji hawana akili wala hawamuulizi bwana, hivyo hawastawi na kundi lao lote la kondoo limetawanyika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu wachungaji wamekuwa kama wanyama, wala hawakuuliza kwa BWANA; basi hawakufanikiwa, na makundi yao yote yametawanyika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami Yeremia nikasema: Wachungaji wamekuwa wajinga, hawakuomba shauri kwa Mwenyezi-Mungu; kwa sababu hiyo, hawakufanikiwa, na kondoo wao wote wametawanyika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wachungaji wangu wamepumbaa, hawakumtafuta Bwana, kwa hiyo hawakuerevuka, nalo kundi lao lote likatawanyika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu wachungaji wamekuwa kama wanyama, wala hawakuuliza kwa BWANA; basi hawakufanikiwa, na makundi yao yote yametawanyika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami Yeremia nikasema: Wachungaji wamekuwa wajinga, hawakuuliza shauri kwa Yawe; kwa sababu hiyo, hawakufanikiwa, na kondoo wao wote wamesambaa.