Jeremiah 10:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Najua, ee Mwenyezi-Mungu, binadamu hana uwezo na maisha yake; hakuna mtu awezaye kuyaongoza maisha yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninajua, Ee Mwenyezi Mungu, kwamba maisha ya mwanadamu si yake mwenyewe; hawezi kuziongoza hatua zake mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, najua ya kuwa njia ya mwanadamu haimo katika nafsi yake; kuelekeza hatua zake si katika uwezo wa mwanadamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Najua, ee Mwenyezi-Mungu, binadamu hana uwezo na maisha yake; hakuna mtu awezaye kuyaongoza maisha yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninajua, Ee BWANA, kwamba maisha ya mwanadamu si yake mwenyewe; hawezi kuziongoza hatua zake mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninajua, Ee bwana, kwamba maisha ya mwanadamu si yake mwenyewe; hawezi kuziongoza hatua zake mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, najua ya kuwa njia ya mwanadamu haimo katika nafsi yake; kuelekeza hatua zake si katika uwezo wa mwanadamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Najua, ee Mwenyezi-Mungu, binadamu hana uwezo na maisha yake; hakuna mtu awezaye kuyaongoza maisha yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninajua, Bwana, ya kuwa mtu siye anayeilinganya njia yake, wala mtu aendaye siye anayeushupaza mwenendo wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, najua ya kuwa njia ya mwanadamu haimo katika nafsi yake; kuelekeza hatua zake si katika uwezo wa mwanadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninajua, ee Yawe, mwanadamu hana uwezo juu ya maisha yake; hakuna mutu anayeweza kuongoza maisha yake.