Jeremiah 10:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utukosoe, ee Mwenyezi-Mungu, lakini si kwa ghadhabu, wala kwa hasira yako, tusije tukaangamia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unirudi, Ee Mwenyezi Mungu, lakini kwa kipimo cha haki: si katika hasira yako, usije ukaniangamiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, unirudi kwa haki; si kwa hasira yako, usije ukaniangamiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utukosoe, ee Mwenyezi-Mungu, lakini si kwa ghadhabu, wala kwa hasira yako, tusije tukaangamia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unirudi, Ee BWANA, lakini kwa kipimo cha haki: si katika hasira yako, usije ukaniangamiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unirudi, Ee bwana, lakini kwa kipimo cha haki: si katika hasira yako, usije ukaniangamiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, unirudi kwa haki; si kwa hasira yako, usije ukaniangamiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utukosoe, ee Mwenyezi-Mungu, lakini si kwa ghadhabu, wala kwa hasira yako, tusije tukaangamia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nipige, Bwana, mapigo yapasayo! Usinipige kwa ukali wako, usiniangamize!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, unirudi kwa haki; si kwa hasira yako, usije ukaniangamiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utuonye, ee Yawe, lakini si kwa kasirani, wala kwa hasira yako, kusudi tusiangamie.