Jeremiah 10:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana, mila za dini za watu hawa ni za uongo. Mtu hukata mti msituni fundi akachonga kinyago cha mungu kwa shoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana desturi za mataifa hazina maana, wanakata mti msituni, na fundi anauchonga kwa patasi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana desturi za watu hao ni ubatili, maana mtu mmoja hukata mti mwituni, kazi ya mikono ya fundi na shoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana, mila za dini za watu hawa ni za uongo. Mtu hukata mti msituni fundi akachonga kinyago cha mungu kwa shoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana desturi za mataifa hazina maana, wanakata mti kutoka msituni na fundi anauchonga kwa patasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana desturi za mataifa hazina maana, wanakata mti msituni, na fundi anauchonga kwa patasi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana desturi za watu hao ni ubatili, maana mtu mmoja hukata mti mwituni, kazi ya mikono ya fundi na shoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana, mila za dini za watu hawa ni za uongo. Mtu hukata mti msituni fundi akachonga kinyago cha mungu kwa shoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani miiko ya watu wa kimizimu ni kitu pasipo maana; kwani hukata mti wa mwituni, mikono ya fundi ikautengeneza kwa tezo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana desturi za watu hao ni ubatili, maana mtu mmoja hukata mti mwituni, kazi ya mikono ya fundi na shoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana, desturi za dini za watu hao ni za uongo. Kwa maana mutu anakata muti katika pori, naye fundi anachonga sanamu ya mungu kwa shoka.