Jeremiah 10:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha watu hukipamba kwa fedha na dhahabu wakakipigilia misumari kwa nyundo ili kisije kikaanguka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanauremba kwa fedha na dhahabu, wanaukaza kwa nyundo na misumari ili usitikisike.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huupamba kwa fedha na dhahabu; huukaza kwa misumari na nyundo, usitikisike.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha watu hukipamba kwa fedha na dhahabu wakakipigilia misumari kwa nyundo ili kisije kikaanguka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanaparemba kwa fedha na dhahabu, wanakikaza kwa nyundo na misumari ili kisitikisike.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanaparemba kwa fedha na dhahabu, wanakikaza kwa nyundo na misumari ili kisitikisike.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huupamba kwa fedha na dhahabu; huukaza kwa misumari na nyundo, usitikisike.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha watu hukipamba kwa fedha na dhahabu wakakipigilia misumari kwa nyundo ili kisije kikaanguka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha huupamba kwa fedha na kwa dhahabu, akautia nguvu kwa misumari na nyundo, usitukutike.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huupamba kwa fedha na dhahabu; huukaza kwa misumari na nyundo, usitikisike.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha watu wanaipamba kwa feza na zahabu wakiipigilia misumari na nyundo kusudi isianguke.